Kiingiacho mjini si haram.Huu mchezo umekithiri sasa wanawake na wadada anavaa dera au gauni laini refu mpaka chini kiasi kwamba mpaka anakua analinyanyua na mkono kidogo lakini cha kushangaza nguo hizo unakuta zinaonyesha kila kitu ndani utaona ramani ya miguu kuanzia juu mpaka chini.
Sijajua lengo ni nini ila kama mnaamua kuvaa nguo ndefu basi ikusitiri na si kuvaa nguo ndefu inayokuonyesha mpaka ndani.
Picha tafadhali si wengine huku Nanyumbu ni mgeni.Huu mchezo umekithiri sasa wanawake na wadada anavaa dera au gauni laini refu mpaka chini kiasi kwamba mpaka anakua analinyanyua na mkono kidogo lakini cha kushangaza nguo hizo unakuta zinaonyesha kila kitu ndani utaona ramani ya miguu kuanzia juu mpaka chini.
Sijajua lengo ni nini ila kama mnaamua kuvaa nguo ndefu basi ikusitiri na si kuvaa nguo ndefu inayokuonyesha mpaka ndani.
mara nyingi wanavaa na tight ndani unaweza fikiri hawana nguo nyingine,lakini nadhani shida ni ufuska tu,maana me wananikera wanapolichomekea kwenye tight au chup wananikera sana sina jinsi tu>Huu mchezo umekithiri sasa wanawake na wadada anavaa dera au gauni laini refu mpaka chini kiasi kwamba mpaka anakua analinyanyua na mkono kidogo lakini cha kushangaza nguo hizo unakuta zinaonyesha kila kitu ndani utaona ramani ya miguu kuanzia juu mpaka chini.
Sijajua lengo ni nini ila kama mnaamua kuvaa nguo ndefu basi ikusitiri na si kuvaa nguo ndefu inayokuonyesha mpaka ndani.
Hama mjini hamia maporini huko mambo hayo hayapo, wanawake full kufunga mikanga na mijitenge, kimbilia huko ukatulie mjini waachie wenye kuhimili mikiki ya hizo transparent na mibato ndani ya ndembwendembwemara nyingi wanavaa na tight ndani unaweza fikiri hawana nguo nyingine,lakini nadhani shida ni ufuska tu,maana me wananikera wanapolichomekea kwenye tight au chup wananikera sana sina jinsi tu>
Mbona mnafuatilia vitu visivyo na tija ngoja Magu azidi kubana tutakuwa kama ulaya unajali yako tuu maana hayakuletei ngawiraHuu mchezo umekithiri sasa wanawake na wadada anavaa dera au gauni laini refu mpaka chini kiasi kwamba mpaka anakua analinyanyua na mkono kidogo lakini cha kushangaza nguo hizo unakuta zinaonyesha kila kitu ndani utaona ramani ya miguu kuanzia juu mpaka chini.
Sijajua lengo ni nini ila kama mnaamua kuvaa nguo ndefu basi ikusitiri na si kuvaa nguo ndefu inayokuonyesha mpaka ndani.
Nipo kijijini yamenishinda ya huo upuuzi nipo likuyu huku namtumbo,wavae tu dira bila chupi watajua wenyewe!Hama mjini hamia maporini huko mambo hayo hayapo, wanawake full kufunga mikanga na mijitenge, kimbilia huko ukatulie mjini waachie wenye kuhimili mikiki ya hizo transparent na mibato ndani ya ndembwendembwe