Wadada kuvaa Dera/gauni refu ambalo ni Transparent

Wadada kuvaa Dera/gauni refu ambalo ni Transparent

Wanaovaa madela yale yanayoonyesha wanafaa kufanywa mahawara na sio wake.
 
Mada kama hii ukitupiamo na kapicha, inanoga sana maana mtu anakuwa anasoma''theory'' na ''practical'' at the same time.
 
Wadada mbona tunalo mwaka huu!! Na uishe tu.

watuache bwana.....wao wanatuangalia na kuona hayo yote ya nini...........wanachokitafuta ni nini.......?.....
 
_*Kama mtaani kwenu mambo yamekuwa tait , usikimbilie mtaani kwetu kwani huku yamekuwa dera kabisa*[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom