Wadada: Kuweni makini na teknolojia

Mwingine kashajirekodi huko..
 
Alikutega hyo NYEGE mbaya mzee wang
 
Mchongo mzima kawaulize mafundi simu sema mafundi simu ni watu professional Sana hawana mambo mengi zaidi ya kuangalia hela tu .

Yaani utakuta mdada anakuletea simu yake kavunja touch screen ....unamuomba password anakupatia bila hata pingamizi Wala maswali ....unambadilishia tach yake yeye akiwa hayupo na simu kakuachia na kuniuliza tu aje kuchukua saa ngapi...? Basi ukitengeneza unaendelea kuiperuzi na kuona mambo yake yote ila ndio hivo ili usipoteze mteja unakaa kimya inakua Siri yako na mteja .... Yaani utajua wanaume wanae hangaika nae ....utajua mabwana anao wakubali na anao wapiga tu....picha za utupu ndio usiseme
 
Basi nikaamua kuzi cut na ku paste kwenye external yangu ambayo ni salama zaidi.


aiseeh nchi ina mambo hii
 
Unaugua udomo zege mkuu😂
 
Unaambiwa ukipewa Simu uangalie picha,angalia picha na urudishe Simu ya watu chap...sio unaperuz left to right & vice versa.

Hapo ndipo tunapofeli.
 
Chuo kuna dem nilimuomba anirushie movie kwa sender sasa tunavochagua movie zkaonekana na video zake sasa udende ukaangukia kwenye kioo baada ya kuziona alicheka kinoma jioni yake nikala mzigo ssa wewe endelea kushangaa shangaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…