Mwananchi B
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 1,885
- 4,131
Mwenzio alitaka kuzipunguza kimasihara.
Maisha yenyewe mafupi haya.
Maisha yenyewe mafupi haya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😲😲😲😲Mwenzio alitaka kuzipunguza kimasihara.
Maisha yenyewe mafupi haya.
Wewe nataka nikufungue akili unaanza kuita watu wanitukane powa ukishafikisha 40 ndio utanielewaUnique Flower njoo ujibu maana leo nimeamka swafii la sivyo ungeukaushia uzi
Mie wakike kiufupi umepatia chibabu anazo siku sio nyingi atanipa yangu mpya tuwe wavumilivu tu .muulize ye analo au lift za madanga zinamzuzua, na kama analo kahongwa
Naomb uni pm namba yakoSo kama upo under 20 wewe SI mwanaume Anza mapema kwanza nani kakuingiza jamii forum unatakiwa ublokiwe hadi uwe at least 21 nyie mnatusema sana
Huku mwanangu nishida tupuNgoja nianze kupanda daladala
Kwakweli naona anakutafuta😂😂Bibiye bora upite tu usinitafute ya rohoni useme umetukanwa
😂😂😂Angalizo: picha si muhimu katika Uzi huu .
😲😲😲Mimi
Imetokea jana nimetoka kariakoo nakwenda sinza tumefika shikilango mimi mikono nilikunja kifuani akaja mdada kutoka nyuma uko kavaa kijora
Akaaza kujisogeza kwenye kweny mkono saa kumbe hajavaa nguo ya ndani aanakaza kusogeza na mimi nikatoa sapot nikaaza kutoa vidole nikajifanya kama najipapasa hapa begani
Nikaona aibu mpaka kaja kushuka palestina
[emoji44][emoji44][emoji44]
Mtoto yupo kwenye heatmuulize ye analo au lift za madanga zinamzuzua, na kama analo kahongwa
Na wote tumejoin 2017 ,what a coincidence 😛
Nakumbuka mmoja kati ya huyo mwanzoni tu najiunga JF alinichambaga hatari ila sijui ni yupi kati ya Financial Analyst au financial services
Mkuu yani pale ni kama puto ujaze majiEti tako 'limewamba' hahaa vijana bana