Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
mkuu ukosahihi Kila mtu ana machoTunataka trako sio mimacho
Unakuta jitu linakuangalia kwa macho makavu, nguvu zitatokea wapi?utelezi ni utelezi tu
Macho yanaongeza zile nguvuTunataka trako sio mimacho
Legeza machoMnatuchanganya sana, tunachanganyikiwa....
atie hamsha hamshaUnakuta jitu linakuangalia kwa macho makavu, nguvu zitatokea wapi?
UongoooooooMacho yanaongeza zile nguvu
Ukikutana na hao, jiandae kukabizi nyumba ya urithiUongooooooo
Yote kwa yote, piga kazi.kwahiyo ni macho tena sio foat tummy waka trakoπππ
Ndio umeona uweke picha ya martha wanguWadada, jifunzeni kulegeza macho ili kuboresha mahusiano yenu.
Hapa nawaza, nitapata hela wapi nimpate mrembo mmoja wa huko Canada, baada ya kunilegezea macho.
Haloo, nitajenga mwakani, kwa sasa nyumba si kipaumbele, ni kula vitu vizuri kwanza.
Kazi kwenu.
View attachment 3444684
Kwa macho yale, wengi wataliwa nauli sana.Ndio umeona uweke picha ya martha wangu
Thanks love....nakula kungumanga yazidi kulegeaAngel Nylon una macho mazuri haswa...
Safi sana... Mtoto wa kiarabu...Thanks love....nakula kungumanga yazidi kulegea
Me sio mwarabu.Safi sana... Mtoto wa kiarabu...
Wewe ni muarabu sweetheart...Me sio mwarabu.
Mie mnyamwezi π π