Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 10,791
- 23,561
Weupe usikuchanganye....bibi mzaa mama alikuwa mzungu π€£π€£π€£Wewe ni muarabu sweetheart...
Na hayo macho yalivyokuelgea hivyo je, ni ya bibi mzaa nani?Weupe usikuchanganye....bibi mzaa mama alikuwa mzungu π€£π€£π€£
kazi unayo wa pain killer kwenye mkobakwahiyo ni macho tena sio foat tummy waka trakoπππ
Kungumanga tu hizo mpenzi wangu weee πNa hayo macho yalivyokuelgea hivyo je, ni ya baba mzaa nani?
Na hiyo sauti ilivyo nzuri... Kiswahili unakivuta mpaka raha na utamu...Kungumanga tu hizo mpenzi wangu weee π
Huyapaka na wanja nizidi kukutia wazimu π
We nisifu sana tu....subiri waniibeNa hiyo sauti ilivyo nzuri... Kiswahili unakivuta mpaka raha na utamu...
Utakubali niibiwe?We nisifu sana tu....subiri waniibe
Mwizi haibiwi π€£πππUtakubali niibiwe?