dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,702
- 20,134
Kama naona wazee huko pm [emoji3]
Wakichangamkia fursa
Wakichangamkia fursa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23]ndo tunatongozana muafaka bado
Ili tukigombana kidogo tu mnakuja kuleta mrejesho kama sijui kibamia kimefanyeje, Mara Mwanaume wa daresalama, etc....[emoji35] [emoji35]
Maana mkiamuaga kutukomalia [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unafanya tafiti ?mambo.nani amewahi kupata mpenzi humu?
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Acha woga kajaribu uko
heeeeHakuna ila wapo wanaopata tabu sana maana kuna watu wasiojulikana wengi humu jamvini
asante nasoma sasahiviSoma kuhusu hawa Habibu B. Anga na Nifah wamekutana humu na kuna historia yao, couple zingine humu ni mtu mmoja sema ana ID ya ME na KE