Bora uasherati kuliko punyeto mkuu au?
Ada ya nin tena wakati Elimu ni bureee, nikisema bure namaanisha bureee kabisa..Nawasalimu Wana Jf,
Ukienda Arusha ni balaa,ukija da Shida,kampala usiseme ,Ruanda haya,mbulu wacha,Mombasa haya,Tanga sokomoko,Morogoro,Mbeya,Upare,watoto wa kike ni balaa,mnazidi kupendeza jamani na watoto ndio wanaenda form one tutashindwa kulipa ada acheni kupendeza hivyo!watoto wa siku hizi mmezidi kuwa wazuri duh!
Sijatamani nasifu umbaji mkuu maana ni shida kila kona,na mbaya ukiuliza kumiliki mgodi haichukui mda unaambiwa sawa lakini usije ukanitenda,ukiuilza una mtu?unaambiwa ndio ninaye,naomba niwe spare sawa,au una mtu?sina, ni bikra? hapana nilikuwa naye tumeachana,kwa nn?alinitenda!DUH!Usipothibiti tamaa za hii miili utajikuta umemaliza wanawake wote duniani kutoa ndugu zako wa karibu tu na still bado utatamani uende kwenye sayari nyingine kuangalia kama kuna wanawake huko ili uendeleze zoezi...Kwa manaa ingine tamaa ni yaku-control sana mno maana hainaga mwisho....Cha msingi ni kuangalia tu na kumsifu Mungu kwa uumbaji uliotukuka..