Wadada mmezidi hadi mnakera!

Wadada mmezidi hadi mnakera!

kedekede

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2016
Posts
5,313
Reaction score
7,714
Nawasalimu Wana Jf,
Ukienda Arusha ni balaa,ukija da Shida,kampala usiseme ,Ruanda haya,mbulu wacha,Mombasa haya,Tanga sokomoko,Morogoro,Mbeya,Upare,watoto wa kike ni balaa,mnazidi kupendeza jamani na watoto ndio wanaenda form one tutashindwa kulipa ada acheni kupendeza hivyo!watoto wa siku hizi mmezidi kuwa wazuri duh!
 
hujajiuliza kipi kinasababisha wapendeze hvyo?
 
Mbona hamjamjibu swali lake yy kasema watoto wa kike wamezidi kupendeza ss mnavyomjibu ni tofauti na swali lake!
 
Nawasalimu Wana Jf,
Ukienda Arusha ni balaa,ukija da Shida,kampala usiseme ,Ruanda haya,mbulu wacha,Mombasa haya,Tanga sokomoko,Morogoro,Mbeya,Upare,watoto wa kike ni balaa,mnazidi kupendeza jamani na watoto ndio wanaenda form one tutashindwa kulipa ada acheni kupendeza hivyo!watoto wa siku hizi mmezidi kuwa wazuri duh!
Ada ya nin tena wakati Elimu ni bureee, nikisema bure namaanisha bureee kabisa..
 
Usipothibiti tamaa za hii miili utajikuta umemaliza wanawake wote duniani kutoa ndugu zako wa karibu tu na still bado utatamani uende kwenye sayari nyingine kuangalia kama kuna wanawake huko ili uendeleze zoezi...Kwa manaa ingine tamaa ni yaku-control sana mno maana hainaga mwisho....Cha msingi ni kuangalia tu na kumsifu Mungu kwa uumbaji uliotukuka..
 
Elimu ni bure lakini kumekuja wimbi la shule private yaan watu hawataki tena st kayumba wanataka st joseph!
 
Usipothibiti tamaa za hii miili utajikuta umemaliza wanawake wote duniani kutoa ndugu zako wa karibu tu na still bado utatamani uende kwenye sayari nyingine kuangalia kama kuna wanawake huko ili uendeleze zoezi...Kwa manaa ingine tamaa ni yaku-control sana mno maana hainaga mwisho....Cha msingi ni kuangalia tu na kumsifu Mungu kwa uumbaji uliotukuka..
Sijatamani nasifu umbaji mkuu maana ni shida kila kona,na mbaya ukiuliza kumiliki mgodi haichukui mda unaambiwa sawa lakini usije ukanitenda,ukiuilza una mtu?unaambiwa ndio ninaye,naomba niwe spare sawa,au una mtu?sina, ni bikra? hapana nilikuwa naye tumeachana,kwa nn?alinitenda!DUH!
 
Back
Top Bottom