M24 Headquarters-Kigali
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 8,199
- 8,186
Daah! jamani hii ni hatari yaani usimzoee mdada kidogo tu hata hujamtongoza kashaanza kukupiga mzinga mara ninunulie simu, hela saloon, mara weekend twende wapi! Mara mama anaumwa naomba uniongezee hela ya dawa.
Kina dada hali yenyewe si mnaiona jamani?
Mbona mnataka tuwe wezi bila kutaka?
Kina dada hali yenyewe si mnaiona jamani?
Mbona mnataka tuwe wezi bila kutaka?