Wadada mmezidi kupiga mizinga (kuomba hela)

Wadada mmezidi kupiga mizinga (kuomba hela)

Daah! jamani hii ni hatari yaan usimzoee mdada kidogo tu hata hujamtongoza kashaanza kukupiga mzinga mara ninunulie simu, hela saloon, mara weekend twende wapi!!! mara mama anaumwa naomba uniongezee hela ya dawa. Kina dada hali yenyewe si mnaiona jamani? mbona mnataka tuwe wezi bila kutaka?

There is only two option either ukubali au ukatae hayo ndio maisha ya sasa baba,kwhy kama hutaki demu basi usizoeane nao
 
Kama huna hela siku hizi papuchi zenye viwango utaishia kuziona kwenye sketi tu.
 
ila kweli wamezidi sana akina dada, wao wanajua siku zote mwanaume ana kisima cha pesa kwamba akikohoa basi unachota na kumrushia, mie hushangaa sana, hebu hangaikeni na nyie mtafute zenu mnajidharaulisha kwa kweli,
 
Ila wanajidhalilisha bila wao kujua.

Mtu anaepiga mizinga huwa namfananisha na wale wanojipanga barabarani usiku. Tofauti ni jinsi tu wanavyotafuta hizo pesa
 
mie wanachonishangaza ni kwamba ukimwambia huna utasikia kumbe at elf hamsini inakupiga chenga....amesahau kuwa yeye mwenyewe kashindwa ipata...haya basi vua chu.pi nikupe oh nitumie kwanza kwenye mpesa loh....

ha ha ha ha
 
Hahaaa.. Naukisha tuma humuoni ng'oooo

ndio hapo unapochoka sasa.....alafu kwanza yeye ndio mwenyeshida so yeye ndio anatakiwa kuja kwako.
to come think of it ni wavivu na dishonest which is practically a receipe for failure in life.
 
Daah! jamani hii ni hatari yaani usimzoee mdada kidogo tu hata hujamtongoza kashaanza kukupiga mzinga mara ninunulie simu, hela saloon, mara weekend twende wapi! mara mama anaumwa naomba uniongezee hela ya dawa.

Kina dada hali yenyewe si mnaiona jamani?

Mbona mnataka tuwe wezi bila kutaka?

hahahaaa kijana acha ku panic...ukingia katika gemu kama hizi.....ni ivi ukikutana na mdada mwenye.....wa aina hii unachotakiwa ujifunzee....mchezoo...unaitwa nusu kaputi yaani ....ukiobwa hela....unamjibu mdada hivi....""usijali mpenzi njoo getto ujee uchukue....maana line yangu ya tigo pesa au mpesa zina matatizoo njoo getto nikupe"" halafu kwa maliziaa ...ukisemaa mwaaa halafu dia nina nyeg""e....uone kama atakutafutaa .....wala kukuomba hela""" mwambie njooo getto uchukuee usikie majibu yakee
 
kazi ya moyo kusukuma damu kupenda ni kiherehere
 
Back
Top Bottom