Wadada mmezidi kupiga mizinga (kuomba hela)

Mnacomplicate sana maisha watu humu ndani,sioni sababu ya kulalamika hapa,sidhani kama kuna watu watakuja kuoa humu ndani.

Sababu kama unalalamika kuombwa hela ya dawa,ukiambiwa ukweni nyumba imebomolewa na mafuriko utafanyaje,au utachukulia umepewa tu taarifa ili ufahamu,baasi.

Unalalamika kuombwa msaada wa kusaidia mgonjwa apone? We ni undertaker nini?
 

Your damn right. Tatizo ni kwamba huyo mgonjwa ni mgonjwa hewa
 

Mama anaumwa! Sina hela ya kula! Vocha uliyonitumia imekatwa nilikuwa nimekopa! Kuna kitop nimekipenda nimekopa dear! Nadaiwa hela ya mchezo honey! Sijaona meseji ya hela uliyonitumia sweetie! Baby nina hamu na juice!
Ha ha ha ha aaah! Mjini shule mkuu! Mi nachekaga sana!
 

unampa ya bandia,mpesa network haipo,
MIMI SIKUKUFUNDISHA MATUMIZI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…