and 300
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 26,398
- 36,406
Dola imefika 2339Jamani nyie mashahidi uchumi ulivyoyumba. Dola imefika 2070 tuoneeni huruma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dola imefika 2339Jamani nyie mashahidi uchumi ulivyoyumba. Dola imefika 2070 tuoneeni huruma
Ikizid inakua keroNime andika nika futa nika andika tena nka futa any way ..nipe nikupe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka mno lolhatuachi ng'ooo
Kimbunga Jobo AllowanceDear naomba hela ya Kimbunga
Huko Facebook ndio usiseme. NimeshawaUnfriend na Kublock wadada 4 ndani ya wiki 1. Yani anakuomba urafiki, ukimkubali tu anaanza kukusalimia mara kwa mara kijenga mazoea. Hujakaa sawa mara .....dear niongezee 10,000 nina shida nayo!! XPfuuuu....wana tamaa hawa! Sijui wanafikiri tunaziokota? Yan tunaonana kwa maandishi tu na wala sijawaahi hata kukuona kwa macho nikutumie hela kijinga tu, nimelogwa??Daah! jamani hii ni hatari yaani usimzoee mdada kidogo tu hata hujamtongoza kashaanza kukupiga mzinga mara ninunulie simu, hela saloon, mara weekend twende wapi! mara mama anaumwa naomba uniongezee hela ya dawa.
Kina dada hali yenyewe si mnaiona jamani?
Mbona mnataka tuwe wezi bila kutaka?
hahahahahha hiyooo msg nimeiona week ilio pita nika jiloga nika jibu sema mamam ila sio ishu za hela. "nilikuwa matusi"Nikuambie kitu!