Wadada mmezidi kupiga mizinga (kuomba hela)

Na mimi kwa kuwa unanipiga mizinga siku nikikamata hiyo papuchi utajuta maana naanzia kwa igwe kinondoni kupaka puturuu napiga na viroba ntakusugua mpaka k itakuwa kama lapulapu la deki

hakika Jf ni hazna kubwa xn .......nimecheka mnooo
 


Hata wanaume uwa mnapiga mizinga marioozz
 
Siku hizi ukianzisha tu mahusiano siku ya pili mzinga oooh nisaidie hela ya kusuka, oooh bebi nimevipenda viatu, mara ooh bebi gauni hili zuri. bebi nilucharge.

Muwage na aibu, vuta subira hata wiki. Halafu kale katabia ukitoa mzigo lazima nilipie hakaja kaa sawa. Wanaume tuungane jamani, vyuma vimekaza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…