Wadada Mna Mambo!

Niwe mkweli..nilikua naziona tu madukan..last 3 weeks niliingiwa na kamzuka nifanye window shopping mkoa wa kanda ya ziwa...nikawa najaribu jumpsuit...nilikua na mhindi mdada hv..nikamsifia una shape nzuri..akanifunulia gauni😂😂😂..akalivua😂😂😂😂😂...!
Nikamshukuru Mungu kimoyo moyo..yaani jaman ukivaa haya jamani ni noma...wanajiamini balaa...dah...!
 
Nawewe unavaa hayo majaladio swahiba...???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…