Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nawewe unavaa hayo majaladio swahiba...???Niwe mkweli..nilikua naziona tu madukan..last 3 weeks niliingiwa na kamzuka nifanye window shopping mkoa wa kanda ya ziwa...nikawa najaribu jumpsuit...nilikua na mhindi mdada hv..nikamsifia una shape nzuri..akanifunulia gauni😂😂😂..akalivua😂😂😂😂😂...!
Nikamshukuru Mungu kimoyo moyo..yaani jaman ukivaa haya jamani ni noma...wanajiamini balaa...dah...!
Kwahiyo ni mwendo wa ua jeupe tu au sio fundi?Mie hata skin tyt nashindwaga...
Kwahiyo ni mwendo wa ua jeupe tu au sio fundi?
My dear nina shida na wewe naomba unipmFundi ni chupi tu kwakwel...kagauni kakiwa kepesi najishauri sana underskate[emoji28][emoji28]
Hii ndio ile misambwanda ya buku jero [emoji23][emoji23][emoji23]