WADADA MNAO DANGA MUNGU ANAWAONA

Nilijua ni kwangu tu,kumbe wako wengi.
 
Utaoa dadako au ukitaka kuoa hutongozi

Ni maajabu kabisa....huna kipato chochote unatokana wapi na wanawake?

Huna kipato utaolea wapi hivi kweli?

Unatongoza mwanamke unategemea kwamba mpaka kafika hapo kaja na hewa?

Ambae hajatumia hela labda ukamuokote jalalani

I really do not get the point at all...

I do not believe kabisa on this earth mwanaume unatomba bure kabisa hata ile gentleman's decency tu ya nauli ya kurudi kwake usilipie..Utakua jitu moja la ajabu sana linaloweza ua nchi nzima!

Jeees!
 
Hujaelewa concept nzima ya mada mkuu hukuna mwanamke wa bure dunia hii hilo najua hata mm binafsi nikiwa natoa hela kwa ajili ya mwanamke najiona kukamilika sana lakin sio kwa povu hilo la mwanamke kwenye mada yaani kumwambia kwasasa haiwezekani ndo aanze kulalamika kuwa umekataa hiv itamuelewa vip? Ni kweli kwenye maisha kila siku utakuwa na hela au utaweza kutimiza vyote anavyohitaji? Kwa wakati anaoutaka yy? Yaani hata saa nane usiku akisema nataka kitu fulani humwambii asubiri maana ukisema hivyo ni povu tu.raha ya mwanamke awe anajua kuna wakati hauna, na kuna vitu huwezi kufanya maana mwanaume sio Mungu ni binadamu kama yy tu
 

KAKA

Ni simple tu,hatuwezi kua tunatoleana mapovu huko duniani halafu tunakuja ku-upload kila kitu hapa hapa...Tutaishije sasa?

Cha ajabu ni kutolewa povu au cha ajabu ni kwa mwanamke kua upfront with you about kitu cha kugharamia?

Tangu lini kua upfront and honest about something obvious ni ajabu?

Halafu hakuna povu hapo..ni dada kua honest and upfront bila kupindishapindisha!

Wa ajabu sio huyo dada,wa ajabu ni huyo kaka sasa!

Kwanini wa ajabu awe huyo dada?..Unatumia mizani gani mwenzentu?

Hii dunia bana....
 
Powa taji chukua ww mkuu
 
[emoji40] [emoji40]
 
Umenena kweli mkuu...daah maisha yanaenda kasi sana..big bon tuu inaanzishiwa thread..vocha na sreen shot zinaletwa..kweli umaskini unashika hatamu..mtoa mada kama hataki kuombwa hata pipi...yeye vipi anataka kuomba wenzie
Nimekaa kimya nikuachie ushindi japo kauli uliyotumia siyo iliyo tumika. "Hakuomba, baada ya kuombwa connections tu akaanza kujihudumia bila cash kama mama wa ndani". Over
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…