babadullah
JF-Expert Member
- Feb 21, 2017
- 508
- 319
haaaa...na ile saut kama sabufa la mchina, inabidi ujikaze kuzibanaNyumba za kupanga zina kera sana yan ninasumbuliwa na tumbo APA halafu ninaendesha
Nikatoka ndani niende toilet nakuta wadada wamejazana karibu na choo nimeingia tu ivo ivo mana nimebanwa ntafanyaje
Yan sauti ninazotoa huku sijui nitawaangaliaje nilitoka
Wadada badilikeni huu ni ukatili wa kijinsia musikae karibu na choo
Haha hahahhaNyumba za kupanga zina kera sana yan ninasumbuliwa na tumbo APA halafu ninaendesha
Nikatoka ndani niende toilet nakuta wadada wamejazana karibu na choo nimeingia tu ivo ivo mana nimebanwa ntafanyaje
Yan sauti ninazotoa huku sijui nitawaangaliaje nilitoka
Wadada badilikeni huu ni ukatili wa kijinsia musikae karibu na choo
Inaboa sanaUnanikumbusha mbalii sanaa nilikuwa nikiona hivyo naenda vyoo vya chuo nilikuwa nimepanga mtaan kipind nasoma basiii nabana mpaka chuo
Badilikeni mnakerakanunue sound proof uweke mwaya..
ukihama itoe ondoka nayo
Huu uzi umeuwandika n kuupost ukiwa toilet unaendesha auNyumba za kupanga zina kera sana yan ninasumbuliwa na tumbo APA halafu ninaendesha
Nikatoka ndani niende toilet nakuta wadada wamejazana karibu na choo nimeingia tu ivo ivo mana nimebanwa ntafanyaje
Yan sauti ninazotoa huku sijui nitawaangaliaje nilitoka
Wadada badilikeni huu ni ukatili wa kijinsia musikae karibu na choo
Ivo yan,kwa uchungu tenaHuu uzi umeuwandika n kuupost ukiwa toilet unaendesha au
Mkuu usikute uliowalenga hawatumii jamii forum ungewachana tu palepale tena wadada lilikiwa suala dogo sana wakati Mimi wamama wazima niliwachana sababu ya kukaa karibu na choo na kupiga sogaNyumba za kupanga zina kera sana yan ninasumbuliwa na tumbo APA halafu ninaendesha
Nikatoka ndani niende toilet nakuta wadada wamejazana karibu na choo nimeingia tu ivo ivo mana nimebanwa ntafanyaje
Yan sauti ninazotoa huku sijui nitawaangaliaje nilitoka
Wadada badilikeni huu ni ukatili wa kijinsia musikae karibu na choo
Nimecheka kidogo nijambekanunue sound proof uweke mwaya..
ukihama itoe ondoka nayo