Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aiweke wapi mlangoni?kanunue sound proof uweke mwaya..
ukihama itoe ondoka nayo
Hahaa ndio maana uzi unanuka nnyannya kumbe umeandikia chooniYan sauti ninazotoa huku sijui nitawaangaliaje nilitoka
Wadada badilikeni huu ni ukatili wa kijinsia musikae karibu na choo
[emoji13] [emoji13] [emoji14]cku nyngine chukua maji yako nusu ndoo na ksha unayachota kwa kutumia kopo na then kuyarudisha tena wakat yakpga kelele naww huko ndo unajamba na kuharisha harakharak mpaka beat ziishe
mkuu tunaish nyumba moja nn??Nyumba za kupanga zina kera sana yan ninasumbuliwa na tumbo APA halafu ninaendesha
Nikatoka ndani niende toilet nakuta wadada wamejazana karibu na choo nimeingia tu ivo ivo mana nimebanwa ntafanyaje
Yan sauti ninazotoa huku sijui nitawaangaliaje nilitoka
Wadada badilikeni huu ni ukatili wa kijinsia musikae karibu na choo
nimecheka hataricku nyngine chukua maji yako nusu ndoo na ksha unayachota kwa kutumia kopo na then kuyarudisha tena wakat yakpga kelele naww huko ndo unajamba na kuharisha harakharak mpaka beat ziishe