Wadada mnaofanya mazoezi ya kukimbia huku Mbezi Beach Chini na Kunduchi mtuhurumie jamani

Wadada mnaofanya mazoezi ya kukimbia huku Mbezi Beach Chini na Kunduchi mtuhurumie jamani

Mkuu kwani simu yako haina camera ukachukua hata kapicha utuwekee hapa tufanye tathmini?
 
Duh! Uzi kama huu ulitakiwa uwe hata na ka picha ka kusindikizia ila Mleta mada ni mchoyo sana asee
 
Corona ikiondoka tutabaki na mambo mengi mageni mageni, tunashukuru Rais Magufuri kutujengea barabara za rami sehemu kubwa ya nchi...sasa hizo barabara nyingi zinatumika kufanyia mazoezi yaani zimevamiwa sana kipindi hiki..kila mtu anazigombea kufanya mazoezi...akina dada vurugu tupu wanaongoza kwa kufanya mazoezi......naongelea dodomaa
 
Back
Top Bottom