Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,623
- 8,442
Daaaah!
Nipo kwenye gari hapa natoka mkoa nakuja Dar es salaam hili bus ni full kiyoyozi na madirisha yamefungwa
Ghafla namvuta hewa nzito sana ya kipodozi,baada ya kufuatilia ile harufu inatoka wapi nikagundua kwa mdada mmoja,wee mdada kama upo humu JF unasafiri na Abood kutoka Moro next time acha kupaka hayo mafuta yako utaua abiria wenzako kwa hewa nzito ya hayo mafuta yako