Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Hahah aisee ni noma bora harufu iwe kali ila inanukia vizuri, sasa harufu kali kisha inanuka kama choo cha shule ya kata ni shida!Achana na huyo mimi wale wanaojipulizia UDI aisee ile harufu ya UDI concentration yake Kali sana halafu tupo kwenye basi nilihama siti nikakaa mbali kabisa