Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,623
- 8,442
hawajiamini watu wa hivyo,so wanaziba harufu zao mbovu labdaDaaaah!
Nipo kwenye gari hapa natoka mkoa nakuja Darisalama
Hili bus ni full kiyoyozi na madirisha yamefungwa
Ghafla namvuta hewa nzito sana ya kipodozi,baada ya kufuatilia ile harufu inatoka wapi nikagundua kwa mdada mmoja,wee mdada kama upo humu JF unasafiri na Abood kutoka Moro next time acha kupaka hayo mafuta yako utaua abiria wenzako kwa hewa nzito ya hayo mafuta yakoView attachment 942901
πππππDaaaah!
Nipo kwenye gari hapa natoka mkoa nakuja Dar es salaam hili bus ni full kiyoyozi na madirisha yamefungwa

Inawezekana nywere zake zimevunda maana daah wana mambo mengiDaaaah!
Nipo kwenye gari hapa natoka mkoa nakuja Dar es salaam hili bus ni full kiyoyozi na madirisha yamefungwa
Ghafla namvuta hewa nzito sana ya kipodozi,baada ya kufuatilia ile harufu inatoka wapi nikagundua kwa mdada mmoja,wee mdada kama upo humu JF unasafiri na Abood kutoka Moro next time acha kupaka hayo mafuta yako utaua abiria wenzako kwa hewa nzito ya hayo mafuta yakoView attachment 942901
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huogopi mapovu Mkuu!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nywele za wafu alafu amezipachika kichwani na kuzikandika mafuta hapo unategemea nini?
EwaaaaKuna demu alikuwa kapaka kurusumu natoka boma naenda mnazi niliona kama nimesafiri mwaka halafu sikuwa eneo lenye dirisha nilikoma
Hahahah sindio ameipenda ananukia ndani ya radius mitaa 200!Ewaaaa
Nilikuwa natoka Dar naenda Arusha na Marangu Coach.
Full Ac, hakuna kufungua kioo.
Nimekaa alone mpaka mitaa ya Mbezi kaingia mdada kashika boksi la hii Kurusumu lina rangi ya zambarau/bluu...kaipaka huko chini.
Kumbe nakaa nae.
Yaani nilimuita konda anibadilishie siti.
Kwanza yule dada ana jasho kali, afu kajipulizia pafyumu hii ya udi huku juu ana bonge la wigi
Afu mbaya zaidi kavaa shati la silk.
Nikapata siti ingine...maisha yakaendelea.
Wadada wengine sijui wanaona ufahari kupaka hiyo mipafyumu ya kunuka na mijasho yao.
Achana na huyo mimi wale wanaojipulizia UDI aisee ile harufu ya UDI concentration yake Kali sana halafu tupo kwenye basi nilihama siti nikakaa mbali kabisaKuna demu alikuwa kapaka kurusumu natoka boma naenda mnazi niliona kama nimesafiri mwaka halafu sikuwa eneo lenye dirisha nilikoma