Hapana wapowadada mchana kweupe na skin jeans mhm!KakaKiiza nadhani unawasema wale wadada fulani, lakini mdada na heshima zake ahawezi kuvaa vaa tu ili mradi tu kavaa,mdada anaejitambua hawezi kuvaa hivyo viatu unavyosema ofisi au skin jeans ofisi, wadada tunaojitambua tunaangalia nguo ipi ya ofisi, viatu gani vya ofisini, nguo gani ya kuendea club n.k
Maana pochi nyingine anabeba desktop hivihivi!!mnabaki kujiuliza mbona hatujaona mtu kabeba mfuko au kiroba kumbe pochi!
Hapo kwenye pochi bora apaache kama palivyo maana maelezo yake ni marefu sana.
Katika mavazi nakusapoti hasa kwa wanaovaa mavazi ya usiku wakati wa mchana.
Ila kwenye mikoba na pochi utakuwa umetushika pabaya aiseeee.......
Wapi Madame B, Paloma, ram, snowhite, King'asti, marejesho, Zion Daughter, mwaJ, Passion Lady, ladyfurahia na wadada wooote... kuna mtu anatuchokonoa asubuhi asubuhi.....

Umeona ee, wamama mambo yetu mengi jamani na tunayasitiri kwwnye mikoba lol....
Maelezo yake ni marefu kweli......asitake tukaanza kuyaelezea......tutajaza server
Hata mi nimeskitishwa na machokonozi!
Bora mie ninae wachokonoaga siku mojamoja! Huyu kazidisha! Imeniuma sana!