Balqior
JF-Expert Member
- Jun 8, 2021
- 2,406
- 8,039
Kwa sababu kwa sisi wanaume, mdada akijipendekeza kwetu, hata kama kimuonekano tunamuona ni wa kawaida, sisi tutafanya naye ngono tu halafu tunapita hivi, tunakula hadi wadada vichaa Waokota makopo, yani kwa sisi wanaume mara nyingi mpaka tumkatae mwanamke kimapenzi, ujue huyo mdada tunamuona ana sura mbaya kupindukia..beyond repair
Nashangaa wadada, kuna kipindi fulani kiko YouTube kinaitwa pineapple show, Yan mdada anachagua wanaume Wa kutoka nao kimahusiano Tofauti tofauti through live zoom video, utakuta mwanaume ni handsome tu smart, mrefu, ana kazi nzuri kuna mkaka mmoja ni handsome na ni nuclear physicist lakini alikataliwa Kwenye pineapple show, video yake ilitrend kweli,, Niljiuliza sasa kama huyu mdada amekataa mwanaume huyu, huyu mdada anamtaka mkaka wa standards gani?