Mr Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 26, 2016
- 1,670
- 764
Wana body
Nisiwachoshe kivile, Habari zenu ? Mazee kuna hili swala mimi kama silielewi flan tukiwa tunaingia makazin asubuhi wadada wote wanapendeza mnoooo, na tukiwa tunatoka pia wanashine mbaya mno sasa inakuwaje ? wakati sisi mens utakuta uchov na sura mpaka nywele zinaondosha ule umaridadi wenzentu siku nzima wanawezaje kubaki wakiwa super ?
Yaani hata nyuso zao hazioneshi kuchoka kwa kaz sa kuchosha akili siku nzima
TUPENI SIRi....