Mr Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 26, 2016
- 1,670
- 764
- Thread starter
- #21
Chezea mwanamke wayeee
endeeeni kuupendeza ulimwengu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chezea mwanamke wayeee
Unazungumzia hadi wale wamama wanaopasua kokoto migodini?
Kujiremba inategemeana na nature ya kazi yako hivi wewe mtembeza mihogo na make up wapi na wapi MkuuKuna mambo yanayomtambulisha mwanamke!kwamba mwanaume ukiyafanya hayo tutakuwa na mashaka na uanaume wako sasa sasa wewe huenda una punje punje za kisela
Nawe uwe na mkoba wenye zana za urembo, kila mara uwe unaji-update.
Inategemea na kazi mdada anayofanya. Kuna Blue collar na white collar jobs. Sasa wadada wengi wanafanya hizi kazi za white collar....Wana body
Nisiwachoshe kivile, Habari zenu ? Mazee kuna hili swala mimi kama silielewi flan tukiwa tunaingia makazin asubuhi wadada wote wanapendeza mnoooo, na tukiwa tunatoka pia wanashine mbaya mno sasa inakuwaje ? wakati sisi mens utakuta uchov na sura mpaka nywele zinaondosha ule umaridadi wenzentu siku nzima wanawezaje kubaki wakiwa super ?
Yaani hata nyuso zao hazioneshi kuchoka kwa kaz sa kuchosha akili siku nzima
TUPENI SIRi....
Inategemea na kazi mdada anayofanya. Kuna Blue collar na white collar jobs. Sasa wadada wengi wanafanya hizi kazi za white collar....
We mwenzangu ambaye unashindwa kupendeza full, utakuwa unafanya kazi ya black collar... 😀😀😀