Mr Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 26, 2016
- 1,670
- 764
Nawe uwe na mkoba wenye zana za urembo, kila mara uwe unaji-update.
Si unataka kuwa mrembo muda wote?Alooo wakiume mimi wananiita Uncle sasa mkoba wapi na wapi
Si unataka kuwa mrembo muda wote?
Duh! taratibu jamani!Nawe uwe na mkoba wenye zana za urembo, kila mara uwe unaji-update.
Vipi tena shemeji?Duh! taratibu jamani!
Jibu mujarrabu japo limekaa kikauzu.Vipi tena shemeji?
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Nawe uwe na mkoba wenye zana za urembo, kila mara uwe unaji-update.
Siku ukiwanyang'anya wadada wote mikoba yao halafu ukawazuia kwenda toilet mida ya kazi aiseee watatoka makazini wamepauka balaa.
Siku hizi vyoo sio sehemu ya kwenda kwa ajili ya haja, ni kwa ajili ya kujipodoa na kujiweka hot hot....
Ukijiuliza mambo ya wanawake utalala kichwa kinauma aisee.
Huo urembo umenipita kushoto
Kunywa juice ya parachichi ya uvugu uvugu mbili Mara tatu.
Aseeeh
Kuna mambo yanayomtambulisha mwanamke!kwamba mwanaume ukiyafanya hayo tutakuwa na mashaka na uanaume wako sasa sasa wewe huenda una punje punje za kiselaHuo urembo umenipita kushoto