Wadada: Mnawezaje kupendeza kazini kuanzia asubuhi mpaka jioni?

Kuna mambo yanayomtambulisha mwanamke!kwamba mwanaume ukiyafanya hayo tutakuwa na mashaka na uanaume wako sasa sasa wewe huenda una punje punje za kisela
Kujiremba inategemeana na nature ya kazi yako hivi wewe mtembeza mihogo na make up wapi na wapi Mkuu
 
Nawe uwe na mkoba wenye zana za urembo, kila mara uwe unaji-update.
Inategemea na kazi mdada anayofanya. Kuna Blue collar na white collar jobs. Sasa wadada wengi wanafanya hizi kazi za white collar....
We mwenzangu ambaye unashindwa kupendeza full, utakuwa unafanya kazi ya black collar... πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Childish
 
Kuna swala zima la kujiupdate during the day,lipstick ama lipshine,mikononi handcreams,usoni poda na nin, na ukipata nafasi unapuliza na spray/perfume kabisaa...nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…