Wadada mtuelewe

Wadada mtuelewe

unajisumbua mkuu yaani mkeo aanze kukuimbia taarab halafu whatsapp amuachie nani?

nafkiri utandawazi ndo umeharibu nao wameruhusu uwaingie.
unakuta hawezi kukaa 30 min bila cm yake
Wabadilike, wajue wanajivunjia wenyewe, vile vitoto vya uswazi vicheza kigodoro, ukikihonga myekundu miwili, basi kitakuimbia usiku kucha tena kwa sauti nzuri [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
 
Lakini na nyie pia naomba mtuelewe.


Kuna baadhi ya wanaume hawajui kuwajari wapenzi wao yani hawawapi muda wa kukaa nao wakabadilishana mawazo,Mwanamke mwenye mapenzi ya kweri anahitaji muda wako zaidi na hawezi kukufanyia hayo uliyoyasema,heshima atakupa ,atakujali atakusikiliza na sio vinginevyo
Excuse me

Kuwajari=Kuwajali
 
Kungwi anaweza akaongeza dozi ndokinachonitisha nimejihami mapema
Hapana kungwi huonesha ustadi wake tu, hakomoi, ruhusu PM[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
 
Niko huku kwenye mlimani mrefu kuliko yote Africa....

Ukiipakia kwa bus niambie tuu naifuata hapo zawadi zangu
Mawasiliano muhimu mdogo wa mimi! [emoji120][emoji120][emoji120]
 
Hapana kungwi huonesha ustadi wake tu, hakomoi, ruhusu PM[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]

Ha ha ha ha ngoja nije nifundike vizuri ila me ni slow learner kungwi
 
Namba 2. Nyinyi ndiyo viongozi na vichwa vya familia sijui mabeberu, ila kutwa humu mnalalamika wake zenu hawahudumii familia sijui blah blah kibaao... Mchague moja mnataka tuhudumie familia wote tuwe vichwa vya familia au mnataka nyie muwe kichwa mbebe majukumu yanayowahusu?
 
Back
Top Bottom