Wabadilike, wajue wanajivunjia wenyewe, vile vitoto vya uswazi vicheza kigodoro, ukikihonga myekundu miwili, basi kitakuimbia usiku kucha tena kwa sauti nzuri [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]unajisumbua mkuu yaani mkeo aanze kukuimbia taarab halafu whatsapp amuachie nani?
nafkiri utandawazi ndo umeharibu nao wameruhusu uwaingie.
unakuta hawezi kukaa 30 min bila cm yake
Sasa mbona unamkatalia kungwi kufanya kazi zake vizuri![emoji848][emoji848][emoji848]
Niko huku kwenye mlimani mrefu kuliko yote Africa....Kwani uko pande zp Tanzania! Je tutawasiliana vp?
Sawa
Ila na wewe nakudai zawadi yanguu
Excuse meLakini na nyie pia naomba mtuelewe.
Kuna baadhi ya wanaume hawajui kuwajari wapenzi wao yani hawawapi muda wa kukaa nao wakabadilishana mawazo,Mwanamke mwenye mapenzi ya kweri anahitaji muda wako zaidi na hawezi kukufanyia hayo uliyoyasema,heshima atakupa ,atakujali atakusikiliza na sio vinginevyo
[emoji23][emoji23]aisee.Ahadi ziwe pande zote mbiliView attachment 1170291
Hapana kungwi huonesha ustadi wake tu, hakomoi, ruhusu PM[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]Kungwi anaweza akaongeza dozi ndokinachonitisha nimejihami mapema
Hapana kungwi huonesha ustadi wake tu, hakomoi, ruhusu PM[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
Umesahau jamani??Ipi hiyo?
Zawadi zikiwa tayari tuuu niambie, mawasiliano ni namba ya package utanipeaMawasiliano muhimu mdogo wa mimi! [emoji120][emoji120][emoji120]
Umesahau jamani??
Kama hukumbuki basi jamani, ilikuwa haijatoka moyoni...Nikumbushe nikamilishe
Kama hukumbuki basi jamani, ilikuwa haijatoka moyoni...
Toto hajambo?!
SawaMh!...haya