Wadada mtuelewe

Love sijakuona kutia neno hapa[emoji118][emoji118][emoji118]
Cc: Khantwe
Love nimekuelewa ila sehemu nyingine ulichoandika si kweli. Unasema sisi hatujui kupetipeti? Mabibi zetu ndio walikuwa wanajua kupetipeti? Hii si kweli, mabibi zetu zamani walifundishwa kuwa watii kwa waume zao, walijua mwanaume ndio jichwa cha nyumba na wao si kitu, kazi yao ni kumsikiliza mume na kufuata yale anayosema bila kujali yana maana au hayana na mababu walijua haswa kuunguruma, wengi walikuwa wanyanyasaji na wababe na mabibi zetu walikuwa wanajua hiyo ndio ndoa. Ukizungumzia kupetipeti sisi wa miaka hii ndio tunajua...eti siku hizi na ninyi kwenye sita kwa sita mnataka kuandaliwa hakika mmepotoka ninyi wanaume wa hiki kizazi
 
Love zile taarab za kina bi Shakila ulizokuwa unaniimbia zamani siku hizi zimepotelea wapi? Au ndio mazoea! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
 
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Itabidi leo tujikumbushe, hadi majirani waone wivu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 
Unakutana na mwingine nyuma ana bonge la mzigo lakini miguu kama virungu vya kupigia beni! Nyie wadada nyie [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
 
Mungu anakuzooommm
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

ᴸᵉᵍᵉⁿᵈᵃʳʸ [emoji377]
 
Mambo yamezidi kubadilika.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…