Wadada na ulimbukeni wa kubadilisha mafuta ya kupaka

Wadada na ulimbukeni wa kubadilisha mafuta ya kupaka

Mi naomba msaada ngozi yangu ya mfuta, and wakat au kabda ya period natoka na machunus hadi madoa hayaniishi nitumie nn? Pia hivi visunzua sijui nin kero pia.
 
Mi naomba msaada ngozi yangu ya mfuta, and wakat au kabda ya period natoka na machunus hadi madoa hayaniishi nitumie nn? Pia hivi visunzua sijui nin kero pia.
Tumia Neutrogena oil balancing facial wash inaondoa mafuta yote usoni...

Visunzua tunatoa kwa mashine

Karibu
 
Habari wakuu,

Husika na kichwa hapo juu,

Kama si kiherehere basi ni ulimbukeni wa wadada wengi linapokuja swala la mafuta ya kupaka hasa lotion na cream.

Utakuta mtu akiona mtu amepaka mafuta yakampenda na yeye anatoka nduki kwenda kununua mafuta asijue kuwa mafuta yapo kwa aina ya ngozi, yani dry na oil skin.

Wengine wamekuwa wakipata tu chunusi wanazichuna ngozi mpa kidonda.

Pia wapo wanaotumia crema kali kutoa chunusi na makovu kumbe wanaharibu ngozi.

Hii imepelekea wadada wengi kufanya ngozi zao kuharibika na kuwa na chunusi na wengine ngozi kuzeeka haraka.

Ni muhimu kufahamu aina ya ngozi yako kwanza kabla ya kutumia mafuta ya aina yoyote, ikiwezekana kwenda kwa wataalamu wa ngozi ili ujue aina ya ngozi yako.

Ni vyema pia kutumia lotion au cream zilizotengenezwa kwa asili zisizochubua ngozi yako.

Pia kumpunguza upakaji wa makeup mara kwa mara maana inafanya ngozi kuchoka.

Umri wa miaka 30- 40 zipo cream kwa matured skin ambazo huondoa makunyazi.

Pia cream hizo ni ant aging, zinasaidia sana kuondoa ngozi yenye makunyanzi.


Kwa ushauri zaidi juu ya ngozi na lotion, cream, Oil, makeup, Facial wash, shower gel, makeup remover, acne facial gel na kutoa makovu kwa mashine, unakaribishwa.
Eti Donatila, kwani hili nalo siyo zimwi lenu?
Maana utakuta dressing table imejaa makopo ya mafuta kila aina
 
Back
Top Bottom