Wadada na wataalamu wa Mimba nisaidieni hapa

Wadada na wataalamu wa Mimba nisaidieni hapa

Africa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2015
Posts
1,504
Reaction score
2,272
Habari,

Kuna mdada nimefanya nae ngono bila kinga yeyote kwakuwa tumepima nae na tuko salama, lengo langu apate mimba sasa naomba mniambie kwani bleeding yake ameanza tar 31\08/2015, kwa siku 3, na Mimi nime sex nae tar 20,22 na Leo 24 mwez wa 9, je kuna possibility ya yeye kupata mimba?

Msaada wa kawaida tafadhali!

Ahsanteni
 
Huwezi pata mimba, inatakiwa uhesabu kuanzia siku anayo anza bleed hadi siku ya 10 kuanzia siku ya 11-18 ndo kuna possibility ya kupata mimba coz hizo siku ndo za ovulation kwa mwanamke.
 
Kujua tarehe ya aliyopata hedhi hakutoshi wewe kufanya timing.

Unapaswa kujua mzunguko wake niwa siku ngapi, maana ipo mizunguko ya kuanzia 23-32 kama sikosea, lakini kila mzunguko una siku zake za timing.

Ili kuujua mzunguko nilazima acheze na kalenda angalau miezi 3 ndio atajua mzunguko wake halisi.
 
Habari,
kuna mdada nimefanya nae ngono bila kinga yeyote kwakuwa tumepima nae na tuko salama, lengo langu apate mimba sasa naomba mniambie kwani bleeding yake ameanza tar 31\08/2015, kwa siku 3, na Mimi nime sex nae tar 20,22 na Leo 24 mwez wa 9, je kuna possibility ya yeye kupata mimba? msaada wa kawaida tafadhali! ahsanteni

Hapana kama tar 31 ameanza bleeding inamaana ndio day 1
Kawaida siku za hatari ni day 12 hadi day 18 (kwa wanawake wenye 28-32 normal cycle) hapo wewe tar 20 ni day 21 of cycle ...... Hawezi kushika mimba
 
Habari,
kuna mdada nimefanya nae ngono bila kinga yeyote kwakuwa tumepima nae na tuko salama, lengo langu apate mimba sasa naomba mniambie kwani bleeding yake ameanza tar 31\08/2015, kwa siku 3, na Mimi nime sex nae tar 20,22 na Leo 24 mwez wa 9, je kuna possibility ya yeye kupata mimba? msaada wa kawaida tafadhali! ahsanteni

hamna mimba apo kaka
 
Si mtaalam sn ila na uhakika na siku ya 11 mpk 18 mimba inapatikana
 
Back
Top Bottom