Wadada na wataalamu wa Mimba nisaidieni hapa

Wadada na wataalamu wa Mimba nisaidieni hapa

Habari,
kuna mdada nimefanya nae ngono bila kinga yeyote kwakuwa tumepima nae na tuko salama, lengo langu apate mimba sasa naomba mniambie kwani bleeding yake ameanza tar 31\08/2015, kwa siku 3, na Mimi nime sex nae tar 20,22 na Leo 24 mwez wa 9, je kuna possibility ya yeye kupata mimba? msaada wa kawaida tafadhali! ahsanteni

Yan Mimi cwez kukushauri. We unataka umharibie mwenzio future yake.
Ushndwe
 
Kama lengo lako apate mimba wasi wasi wako nini sasa. Subiri matokeo. Kwa maelezo yako tu unaonesha unawasi wasi asije pata mimba.
 
Since we are talking technicalities, mmeshamuona mtaalamu ili kufahamu kama mna uwezo wa kupata mtoto bila matatizo yoyote?
 
.huo uhakika aupo huo.
mlete kwangu kwanza ndo uendelee nae
 
Habari,
kuna mdada nimefanya nae ngono bila kinga yeyote kwakuwa tumepima nae na tuko salama, lengo langu apate mimba sasa naomba mniambie kwani bleeding yake ameanza tar 31\08/2015, kwa siku 3, na Mimi nime sex nae tar 20,22 na Leo 24 mwez wa 9, je kuna possibility ya yeye kupata mimba? msaada wa kawaida tafadhali! ahsanteni

kwa hiyo mkuu we unaonjaonja bila kuwa na uhakika...
hapo mimba hamna.... so akikwambia baby nasikia kichefuchefu....weka alama ya kiulizo
 
Yan Mimi cwez kukushauri. We unataka umharibie mwenzio future yake.
Ushndwe

What if hiyo mimba ndio a blessing na ikamfungulia huyo mdada mafanikio mbeleni?

Kwanini mnaona mimba kama laana?
 
Yeye mwenyewe anajua unataka kummimba?

Vimimmbisho vipo vina nguvu ya kummimbisha????

Huyo binti unemuoa au unataka kummimbisha tu?

Hakuna mimba hapo

Na mabinti, mkome kuwatajia wanaume zenu tarehe zenu bila kujua malengo yao halisi
 
Back
Top Bottom