Kaboom
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 10,828
- 15,001
Na leo umefanya?huku ni kutamanishana kwakweli.....
Hahaha!!!.Na we unataka??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na leo umefanya?huku ni kutamanishana kwakweli.....
Habari,
kuna mdada nimefanya nae ngono bila kinga yeyote kwakuwa tumepima nae na tuko salama, lengo langu apate mimba sasa naomba mniambie kwani bleeding yake ameanza tar 31\08/2015, kwa siku 3, na Mimi nime sex nae tar 20,22 na Leo 24 mwez wa 9, je kuna possibility ya yeye kupata mimba? msaada wa kawaida tafadhali! ahsanteni

Yan Mimi cwez kukushauri. We unataka umharibie mwenzio future yake.
Ushndwe
Na leo umefanya?huku ni kutamanishana kwakweli.....
True mdada mi mkonga wa taifa unasoma 4G!
Yan Mimi cwez kukushauri. We unataka umharibie mwenzio future yake.
Ushndwe
amna sio kama namharibia! ni malengo tu
Msaidie Basi....Sie Tunajua Hakuna Mpka Ndoa!!!ha ha haaa!
Msaidie Basi....Sie Tunajua Hakuna Mpka Ndoa!!!
[emoji3] [emoji3] [emoji3]!!! Mfano Kwao Amuanze Kumuuliza Nani??Hata mimi naelewa hivyo kama vipi akaulizie na kwao
hamna mimba apo kaka
[emoji3] [emoji3] [emoji3]!!! Mfano Kwao Amuanze Kumuuliza Nani??