Africa Tanzania
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 1,504
- 2,272
Its True!!![emoji2] [emoji2] [emoji2] !!!!Uwezekano huo haupo; mpaka mfunge kwanza ndoa.
Its True!!![emoji2] [emoji2] [emoji2] !!!!
Hashanah ata mm nimecheka sana.kwakweli swala la ndoa muhimu kwanza..
Habari,
kuna mdada nimefanya nae ngono bila kinga yeyote kwakuwa tumepima nae na tuko salama, lengo langu apate mimba sasa naomba mniambie kwani bleeding yake ameanza tar 31\08/2015, kwa siku 3, na Mimi nime sex nae tar 20,22 na Leo 24 mwez wa 9, je kuna possibility ya yeye kupata mimba? msaada wa kawaida tafadhali! ahsanteni

Na leo umefanya?huku ni kutamanishana kwakweli.....
Uwezekano huo haupo; mpaka mfunge kwanza ndoa.