Wadada naombeni jibu!!!!

Wadada naombeni jibu!!!!

Shangazi we mkali!Inamaana sina anko mbongo!!Ila hao inaonekana walikuwa full romantic!Mpaka anaemiliki muda huu!!!!
Anaemiliki nini???GARI?!NYUMBA?!SHAMBA!? Mi siwezi kumilikiwa....
 
Gari lipi....?!Mi naendesha baiskeli!
Shangazi bwana,haya nisije ambiwa nimekuvunjia heshima bure,ila msalimie anko,nampa tano kwa kuweza kuula mfupa uliomshinda fisi!
 
Shangazi bwana,haya nisije ambiwa nimekuvunjia heshima bure,ila msalimie anko,nampa tano kwa kuweza kuula mfupa uliomshinda fisi!
Khaaaa!!!?Huko sasa nadhani ndo kuvunjiana heshima!
 
Khaaaa!!!?Huko sasa nadhani ndo kuvunjiana heshima!
Aaaah,shangazi sory lakini usimwambie anko!Atanipiga marufuku kuja kula mchana hapo home na ninakujua kwa utaalam wa kupika!
 
Back
Top Bottom