Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wa leo una nini sasa cha maana ule? Gilesi ulikua [emoji91] [emoji91]Ulizidi wa leo??? Nilipitwaaa
[emoji23][emoji23][emoji23]Watatuma picha za kina beyonce!maana picha zao unaweza kudhani kichuguu au banda la tigopesa
Mi nilishamuacha huyu,baki nae tuEeeh mbn mkali hivyo katoto??
Sasa nafuraije?mi sipendagi kushare ujueAhahaa baby why! Nilijua utafurahi
Even you Kapeace your very cute I can imagine, your even better than your avatar. Personally I appreciate U, even without seeing U.Wanakuja wenye visura vyao
Jamani yashakuwa hayaWatatuma picha za kina beyonce!maana picha zao unaweza kudhani kichuguu au banda la tigopesa
Gilesi ni mambo yote hahah ule uzi unaweza ukaenda kuombea mkopo benki na ukapata bila matatizoWa leo una nini sasa cha maana ule? Gilesi ulikua [emoji91] [emoji91]
Na mkopo wenyewe masaa 24 hayaishi umeshaingia.Gilesi ni mambo yote hahah ule uzi unaweza ukaenda kuombea mkopo benki na ukapata bila matatizo
Kwani urongo??!!embu tuma yako tuone ili tuondoe huu utataJamani yashakuwa haya
Hatukuaminigi kama ni bujibuji weweeGilesi ni mambo yote hahah ule uzi unaweza ukaenda kuombea mkopo benki na ukapata bila matatizo
Wakina sie ndo kama vibanda vya M-PESAKwani urongo??!!embu tuma yako tuone ili tuondoe huu utata
Mim ni kabaya wala hata usihangaike na mimi wapo totoz humuKwani urongo??!!embu tuma yako tuone ili tuondoe huu utata
Embu tuoneWakina sie ndo kama vibanda vya M-PESA
Umejuaje km we kabaya bila kuambiwa??wanaosemaga hivyo ndo huwa wazuri kupindukiaMim ni kabaya wala hata usihangaike na mimi wapo totoz humu
Hahahaha mbaya zaidi na ye akawa anakuja na id yake inayojulikana anatoa ushaur wa nini cha kufanya ili matako yasitingishikeHatukuaminigi kama ni bujibuji wewee