Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Ahahahahahah ukenikumbusha kituHeee! Yaani natoka kumuweka sawa kapeace na wewe unalipuka!!! Hivi mnataka chupi nivae kichwani wanawake wangu!
Ila pua ni tatizo hahaahNa mpua kama ngumi ya van damme hahaha baba we tuache tu
Acha tuWanawake mna kilanga wachaa!
Dah nakufa mwenzenu nilipitwaaaWa leo una nini sasa cha maana ule? Gilesi ulikua [emoji91] [emoji91]
Nitambulishe baso usijekuta tunashea hata hukoMi nilishamuacha huyu,baki nae tu
Kwanza siku hizi nina baby wangu mpya
Kama picha ndio ile kweli mmmhh labda watoto watakuwa wa nduguze na mama tukinao daaahh ngoja niishie hapa[emoji15]Kuna Picha Katika Ule Niichukua Fasta Mana Nilikuja Jua Tuuu Mods Watakuja Fanya Yao
Cc Mama Tukinao Na Watoto Wake Sijui Wale.....!!!!
Maelezo Anajua Money Penny
Kigagula nina wajukuu[emoji108]Even you Kapeace your very cute I can imagine, your even better than your avatar. Personally I appreciate U, even without seeing U.
Nimekumbuka yangu nikachekaKitu gani gawa ubuyuu!
Hahahaha hata mie nilifanya fasterOoooh nakuja pm
Yaan mwanamke akiwa na kichwa cha huyo ni bora ubadili jinsia,,hata hvyo mawig yanasitri sanaBichwa ka magu!
Picha yako usitume hapa. Hawakawii kusema ulijiteka.Kigagula nina wajukuu[emoji108]
Nimecheka kikunya yaaniHahahaha mbaya zaidi na ye akawa anakuja na id yake inayojulikana anatoa ushaur wa nini cha kufanya ili matako yasitingishike
Relaax booHeee! Yaani natoka kumuweka sawa kapeace na wewe unalipuka!!! Hivi mnataka chupi nivae kichwani wanawake wangu!
Wapo humu wenye utoto huo?Ili na wewe ukikorofishana nao utume picha useme umewakula??
NakugawaaaaaAhahahahah hapana wa kawaida sana il K nnayo