Wadada ndani ya Daladala

Wewe nawe kama ni mwana mme unatuaibisha sasa. tulia.
Mimi ni mwanaume. Mbali na hivyo ni baba wa familia na nina mtoto mmoja. Mungu akijalia mwezi huu wa tatu napata mtoto wa pili. Iwe kheri. .
 
Daah! Sitokuja kusahau hiki kituko...

Ilikua wakati huo nikiwa advance pale makongo, Siku hiyo natoka home asubuhi naelekea shule..Kama tunavyojua daladala wakati huo zilikuwepo zile town haice(Vipanya) daah! Mkaka wa watu mie...
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ nakumbuka vipanya

Nilisoma pia O level Makongo. Pamoja sana.
 
Yaani upande daladala halafu utake kukwepa kugusana na abiria wenzako...

Ni kitu hakiwezekani...
 
Hilo jiji watu wengi wapo busy na kutafuta maisha, wala hawana haja na hizo heshma.
Dar ukitaka raha na heshma, bora upambane ununue gari lako.
 
Tulivyoshuka kwenye Daladala akawa hanisemeshi tena akasema aliona jinsi nilivyotulia kukumbatiana na yule dada eti Yale ndo mambo ambayo mi napenda
Hahahaah
 
Huyo Demu wako kama alikereka angekuachia wewe Siti.
 
Ndio maana sipendi tabu ya kupanda gari zilizojaa, nawahi kituoni nipate muda wa kusubiria gari yenye nafasi. Kubambiana kwenye daladala ni kufedheheshana tu
 
Endelea kujifikirisha

Ukiwa na bawasiri ukaenda hospital kufanyiwa operation utakuwa sio rijali...
Mfano na bondia na huo wa jeshi havileti huo uhalisia. Nina mifano hai ya hayo makundi tajwa
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚uongo bhana
Sikulazimishi uamini ktk maneno yangu..Ila kaa ukitambua kuwa Dar hii early 90โ€™s to 2009 tulikua watu wachache sio kama hivi leo hivyo kukutana na mtu kwa mara nyingine kwenye usafiri ilikua kawaida na ndipo nilipokutana kwa mara nyingine na huyo binti nasikuona ubaya wa kueleza hisia zangu kwake...Kumbe hata yeye alikuwa bado akiniwaza hivyo niliweza kula tunda kimasihara huwezi kuamini!
 
Huo usafiri ni wawatu wakada ya chini sana kuanzia kipato unapo panda usafri huo kubali yote.
Ukweli ndio huo, Mungu nisaidie mwaka huu nipate hata ki_baby walker, daladala/mwendokasi ni umaskini na Dar jua linachoma kweli kweli.
 
Sio kwa Tanzania hii eti usafiri wa umma uwe reliable, ngumu sana kwasababu ni usafiri wa maskini na walamba asali hawana habari na walala hoi.

Solution ni kununua gari yako, ukiwa na haraka sana yaani haraka chukua boda anayeji elewa ila sio wanyoa viduku japo ni risk. Ila daladala/mwendokasi...ni usafiri wa kifukara sanaaa.
 
chai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ