Wadada ndani ya Daladala

Wadada ndani ya Daladala

Wewe nawe kama ni mwana mme unatuaibisha sasa. tulia.
Mimi ni mwanaume. Mbali na hivyo ni baba wa familia na nina mtoto mmoja. Mungu akijalia mwezi huu wa tatu napata mtoto wa pili. Iwe kheri. .
 
Daah! Sitokuja kusahau hiki kituko...

Ilikua wakati huo nikiwa advance pale makongo, Siku hiyo natoka home asubuhi naelekea shule..Kama tunavyojua daladala wakati huo zilikuwepo zile town haice(Vipanya) daah! Mkaka wa watu mie...
😀😀 nakumbuka vipanya

Nilisoma pia O level Makongo. Pamoja sana.
 
Yaani upande daladala halafu utake kukwepa kugusana na abiria wenzako...

Ni kitu hakiwezekani...
 
Hilo jiji watu wengi wapo busy na kutafuta maisha, wala hawana haja na hizo heshma.
Dar ukitaka raha na heshma, bora upambane ununue gari lako.
 
Tulivyoshuka kwenye Daladala akawa hanisemeshi tena akasema aliona jinsi nilivyotulia kukumbatiana na yule dada eti Yale ndo mambo ambayo mi napenda
Hahahaah
 
Daladala ilitaka kunigombanisha na demu wangu siku hiyo Nilipandaga daladala na manzi yangu ye akapata siti mi nikasimama sasa kwenye gari tukawa tumebanana kinyama alaf mbele yangu kasimama dem mmoja mbaya zaidi tulibanana kwenye gari hadi mi na yule demu ikawa kama vile tumekumbatiana kila nikimkwepa wapi , kila nikimkwepa wapi alafu yule dem ye katulia tu
Huyo Demu wako kama alikereka angekuachia wewe Siti.
 
Ndio maana sipendi tabu ya kupanda gari zilizojaa, nawahi kituoni nipate muda wa kusubiria gari yenye nafasi. Kubambiana kwenye daladala ni kufedheheshana tu
 
Endelea kujifikirisha

Ukiwa na bawasiri ukaenda hospital kufanyiwa operation utakuwa sio rijali...
Mfano na bondia na huo wa jeshi havileti huo uhalisia. Nina mifano hai ya hayo makundi tajwa
 
😂😂uongo bhana
Sikulazimishi uamini ktk maneno yangu..Ila kaa ukitambua kuwa Dar hii early 90’s to 2009 tulikua watu wachache sio kama hivi leo hivyo kukutana na mtu kwa mara nyingine kwenye usafiri ilikua kawaida na ndipo nilipokutana kwa mara nyingine na huyo binti nasikuona ubaya wa kueleza hisia zangu kwake...Kumbe hata yeye alikuwa bado akiniwaza hivyo niliweza kula tunda kimasihara huwezi kuamini!
 
Huo usafiri ni wawatu wakada ya chini sana kuanzia kipato unapo panda usafri huo kubali yote.
Ukweli ndio huo, Mungu nisaidie mwaka huu nipate hata ki_baby walker, daladala/mwendokasi ni umaskini na Dar jua linachoma kweli kweli.
 
Hiyo ni changamoto, ingawa kuitatua si rahisi, hata kama utatumia usafiri wako, kuna maeneo ili ufike kwa haraka utaitaji mwendo kasi. Suluhisho la kudumu labda kuwepo na magari mengi (mwendokasi)ambapo itapelekea watu wasibanane ingawa napo si rahisi.
Sio kwa Tanzania hii eti usafiri wa umma uwe reliable, ngumu sana kwasababu ni usafiri wa maskini na walamba asali hawana habari na walala hoi.

Solution ni kununua gari yako, ukiwa na haraka sana yaani haraka chukua boda anayeji elewa ila sio wanyoa viduku japo ni risk. Ila daladala/mwendokasi...ni usafiri wa kifukara sanaaa.
 
Daah! Sitokuja kusahau hiki kituko...

Ilikua wakati huo nikiwa advance pale makongo, Siku hiyo natoka home asubuhi naelekea shule..Kama tunavyojua daladala wakati huo zilikuwepo zile town haice(Vipanya) daah! Mkaka wa watu mie sina hili wala lile nawaza kuwahi shule ikafika daladala nikapanda uzuri kulikua na siti moja zile za katikati(siti mkunjo) nilikaa hapo baada ya kuvuka vituo kadhaa mbele akapanda binti mzuri kweli yani akasimama mbele yangu kwa kweli mungu aliumba binti figure nzuri namba nane basi wowowo lake lote likawa usoni kwangu ikanibidi kuinamisha kichwa chini.

Mbele kidogo kuna abiria nyuma yangu inabidi ashuke sasa kwenye kupishana hapo ndipo ilitokea ile hali ya kukutana na yule dada face to face na mimi baada ya kusimama ili nimpishe mtu ashuke ghafla gari likavuka tuta(bamsi) kwa nguvu bila kujua nilijikuta mdomoni kwa yule binti nanyonywa mate (denda) daah! Tulishtuka wote kwani hakuna aliedhamiria kufanya vile.

Nashukuru mungu hakuwa na jaziba yule binti alitulia kama hakuna kilichotokea lkn kwa upande wangu ilikua moment flani amazing na ikanipa point 3 za ushindi hata nilipo amua kumtafuta hakukua na ugumu mambo yalikua easy hadi kumchakata...
chai.
 
Back
Top Bottom