Wadada ndani ya Daladala

Wadada ndani ya Daladala

black abdu

Senior Member
Joined
Dec 2, 2022
Posts
156
Reaction score
212
Kuna hii kadhia ya kwenye daladala zetu, inanikera sana, ya abiria kusimama mistari miwili wakielekezana migongo. Makondakta wana ujuzi wa kupanga abiria, huoni hata nafasi imeachwa.

Msongamano huu upo pia kwenye Mabasi yetu ya Mwendokasi, ingawa kule utaratibu si kama we kwenye daladala. Ukweli huu utaratibu huwa unanikwaza, mara nyingi huwa najiweka nyuma ya dereva, hata kondakta akisema rudi nyuma sikubali, naacha nafasi ya watu kupita.

Wengine huwa nawaona wapo sawa tu, hawajali, wameshakubaliana na uhalisia wa hali. Mimi huwa nakwazika sana ile kuwekeana makalio hasa wanaume kwa wanaume au wanaume kwa wanawake.

Nawaona wanaojiachia zaidi ni wanawake, yaani ni kama hawana habari na huko nyuma, mtu kasimama hajigusi, ukipita uji-tune mwenyewe. Mwanaume mwingine nae kawekeana makalio na mwanamke, katulia tulii, sijui nini huwa kunaendelea akilini mwao wakati huo.

Binafsi namueheshimu sana Mwanamke, thamani ya maungo yake ni kubwa, haistahili kuguswaguswa hovyo. Sawa, ndio uhalisia wa hali, basi angalao wangekuwa hata wanajaribu kujihepesha, lakini hakuna. Siku moja nimekaa, mwanamke mmoja anashuka, kainama kuchukua mzigo wake, kalio lote kaniwekea begani! Heee! Aibu naiona mimi.

Kuna watu wana maradhi, hawawezi kuhimili kugusana na ndio zile hadithi unasikia mtu kachafuliwa, inakuwa gumbo. Au njemba mwengine kawekea "bogi" anajua dada watu anamtaka, anaanza kuji-tune na yeye, baadae mdada anahamaki inakuwa fedheha.

Heshima ya dada daladalani aitunze nani?

Wasalaam!
 
Unawaza kuwa ukiwa kwenye mstari kuna jamaa atapita akubambie?

Utaweza kuendesha bodaboda kweli? mana kuna siku bodaboda alipanda tuta nikajikuta nimempakata. .

Usiwaze sana sifa ya kuwa mwanume rijali hutakiw kuogopa kushikwa tako😬
 
Yaani uwe rijali halafu usiogope kushikwa ka'ada!!!?

Unanifikirisha.
 
Yaani uwe rijali halafu usiogope kushikwa ka'ada!!!?

Unanifikirisha.
Endelea kujifikirisha

Ukiwa na bawasiri ukaenda hospital kufanyiwa operation utakuwa sio rijali

Nimesoma shule za jeshi, walikuwa wanatusimulia kipindi cha nyuma ukiwa jeshini mkuu wako wa kikosi anaweza kukwambia inama na akakushika tako. Je hawa wanajeshi sio rijali?

Mabondia wote wanaoenda kupigana ngumi za kulipwa nchi za watu huwa lazima daktari awainamishe anaingiza kidole na kumwambia akohoe. Hawa sio rijali?

Ukweli ni ngumu ukiwazia sana mda mwingine mambo haya ya kuomba yapite mbali. .
 
Kuna watu wana maradhi, hawawezi kuhimili kugusana na ndio zile hadithi unasikia mtu kachafuliwa, inakuwa gumbo. Au njemba mwengine kawekea "bogi" anajua dada watu anamtaka, anaanza kuji-tune na yeye, baadae mdada anahamaki inakuwa fedheha.
Dungadunga wanaponea humo
 
Endelea kujifikirisha

Ukiwa na bawasiri ukaenda hospital kufanyiwa operation utakuwa sio rijali

Nimesoma shule za jeshi, walikuwa wanatusimulia kipindi cha nyuma ukiwa jeshini mkuu wako wa kikosi anaweza kukwambia inama na akakushika tako. Je hawa wanajeshi sio rijali...
Kwa hiyo Mwakinyo nae tyr kainamishwa mara kibao tu au sio
 
Daladala ilitaka kunigombanisha na demu wangu siku hiyo Nilipandaga daladala na manzi yangu ye akapata siti mi nikasimama sasa kwenye gari tukawa tumebanana kinyama alaf mbele yangu kasimama dem mmoja mbaya zaidi tulibanana kwenye gari hadi mi na yule demu ikawa kama vile tumekumbatiana kila nikimkwepa wapi , kila nikimkwepa wapi alafu yule dem ye katulia tu
 
Demu wako alimind vipi?
 
Hahahass
 
Hiyo ni changamoto, ingawa kuitatua si rahisi, hata kama utatumia usafiri wako, kuna maeneo ili ufike kwa haraka utaitaji mwendo kasi. Suluhisho la kudumu labda kuwepo na magari mengi (mwendokasi)ambapo itapelekea watu wasibanane ingawa napo si rahisi.
 
Daah! Sitokuja kusahau hiki kituko...

Ilikua wakati huo nikiwa advance pale makongo, Siku hiyo natoka home asubuhi naelekea shule..Kama tunavyojua daladala wakati huo zilikuwepo zile town haice(Vipanya) daah! Mkaka wa watu mie sina hili wala lile nawaza kuwahi shule ikafika daladala nikapanda uzuri kulikua na siti moja zile za katikati(siti mkunjo) nilikaa hapo baada ya kuvuka vituo kadhaa mbele akapanda binti mzuri kweli yani akasimama mbele yangu kwa kweli mungu aliumba binti figure nzuri namba nane basi wowowo lake lote likawa usoni kwangu ikanibidi kuinamisha kichwa chini.

Mbele kidogo kuna abiria nyuma yangu inabidi ashuke sasa kwenye kupishana hapo ndipo ilitokea ile hali ya kukutana na yule dada face to face na mimi baada ya kusimama ili nimpishe mtu ashuke ghafla gari likavuka tuta(bamsi) kwa nguvu bila kujua nilijikuta mdomoni kwa yule binti nanyonywa mate (denda) daah! Tulishtuka wote kwani hakuna aliedhamiria kufanya vile.

Nashukuru mungu hakuwa na jaziba yule binti alitulia kama hakuna kilichotokea lkn kwa upande wangu ilikua moment flani amazing na ikanipa point 3 za ushindi hata nilipo amua kumtafuta hakukua na ugumu mambo yalikua easy hadi kumchakata...
 
Back
Top Bottom