Ni kweli, wadada wengi wa mjini hawabebi khanga. Isipokuwa kazi maalum.
Wakati wa ujana wangu, nilikua najua karibia Madanguro yote. Sasa ukitaka kwenda kuchomoa kifaa, kuna ishara moja kubwa sana kutaka kumjua huyu ni yeye ama la.
Ishara hiyo ni utakuta kakumbatia khanga au mtandio kwapani au kaushika mkononi pamoja na kipochi chake.
Khanga hizi zilitumika sana. Kutokana na kuwa ni 'show time', khanga ilitandikwa tu uchochoroni mnapiga show yenu kila ntu anasepa zake...... Hata kwenye Club ukimkuta mnaongea bei tu Chap Chap.
Hawaachi khanga hata iweje.