Idimi
JF-Expert Member
- Mar 18, 2007
- 15,328
- 11,192
Swali zuriupo kwenye utafiti au?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swali zuriupo kwenye utafiti au?
Basi huwa tunabeba.Sio utafiti mkuu, nimewauliza tu wahusika mana ishakuwa story huku mitaani
Mkuu inaonyesha unauzoefu kidogoNi kweli, wadada wengi wa mjini hawabebi khanga. Isipokuwa kazi maalum.
Wakati wa ujana wangu, nilikua najua karibia Madanguro yote. Sasa ukitaka kwenda kuchomoa kifaa, kuna ishara moja kubwa sana kutaka kumjua huyu ni yeye ama la.
Ishara hiyo ni utakuta kakumbatia khanga au mtandio kwapani au kaushika mkononi pamoja na kipochi chake.
Khanga hizi zilitumika sana. Kutokana na kuwa ni 'show time', khanga ilitandikwa tu uchochoroni mnapiga show yenu kila ntu anasepa zake...... Hata kwenye Club ukimkuta mnaongea bei tu Chap Chap.
Hawaachi khanga hata iweje.
We uliza tu, ilimradi usivunje sheria za jfNaluhusiwa kuuliza?
Mana swali hili inabidi niombe ruhusa kwanza
Kina mama wameacha kuhusia watoto zao umuhim wa kangaDoh, si wanajifanya digital ndo mana wanaumbuka
Wanahusiana baadhi yao.Kina mama wameacha kuhusia watoto zao umuhim wa kanga