Wadada; ni kweli hamtembei na khanga za akiba kwenye mikoba yenu?

Kitu ambacho sintokaa niweze ni kutoka bila khanga kwenye pochi.
Hata kama naenda waapi lazima niwe na khanga tuu
Naluhusiwa kuuliza?
Mana swali hili inabidi niombe ruhusa kwanza
 
Upo sahihi mkuu,mwezi uliopita kuna dada alipatwa na ada yake ktk mazingira ambayo angekuwa na kanga angestirika,Ilibidi watoto wa kiume waliokuwapo pale wakamuombee kanga jirani
Doh, si wanajifanya digital ndo mana wanaumbuka
 
Mkuu inaonyesha unauzoefu kidogo
 
Kwa pochi hasa mtandio haukosi
Muhimu sanaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…