Sio kwa ngozi zote Inategemea na ngozi ya mtuPalmers cocoa butter lotions, ziko natural, wewe tu uchague unataka ile ya mgando au za kumiminika..ni mazuri sn.,
Mhh yawezekana, nilishajaribu Palmers yale ya mgando kilichofata ni rashes ,na joto la Mjini mweehSio kwa ngozi zote Inategemea na ngozi ya mtu
Mhh sidhani.. Labda upate option ya normal ama oily skin,I used Dove zamani wana aina za ngozi tofauti tofautiNilienda kuitafuta ila naona ni ya dry skin mi ngozi yangu mafuta sana itanifaa kweli?