Wadada nisaidieni hili

Wadada nisaidieni hili

ladypeace

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2012
Posts
935
Reaction score
506
Habari zenu wapenzi!!!
Naomba mnisaidie mimi ni mweusi kiasi wanaita maji ya kunde nina ngozi ya mafuta nataka kuwa na rangi ya chocolet smothy kama nimezaliwa leo

Nishaurini mtumie lotion gani isiwe na chemical pls nina aregy naumuka mwili.nimeshabadili lotion mpaka nimechoka.ntashukuru.
 
Queen Elizabeth nzuri ila naona inafanya mtu ang'ae kdogo/awe mweupe hiviii...siielewagi
 
Uzi wako unahusika sana pande hizo.

Usijali watakuhamishia
 
Sio kwa ngozi zote Inategemea na ngozi ya mtu
Mhh yawezekana, nilishajaribu Palmers yale ya mgando kilichofata ni rashes ,na joto la Mjini mweeh
Japo mazuri for strech marks zinafifia
 
Am Ally, currently in Gilgil KENYA. Am interested with a [HASHTAG]#woman[/HASHTAG] to be my [HASHTAG]#wife[/HASHTAG]. but am really scared of facing one. Please, I request one from a friend maybe or should email me [HASHTAG]#AliDiVybz[/HASHTAG] on net. aliabdi1993@gmail.com
 
Palmers cocoa butter lotions, ziko natural, wewe tu uchague unataka ile ya mgando au za kumiminika..ni mazuri sn.,
Nilienda kuitafuta ila naona ni ya dry skin mi ngozi yangu mafuta sana itanifaa kweli?
 
Nilienda kuitafuta ila naona ni ya dry skin mi ngozi yangu mafuta sana itanifaa kweli?
Mhh sidhani.. Labda upate option ya normal ama oily skin,I used Dove zamani wana aina za ngozi tofauti tofauti
Try pia Nivea ama baby Johnson lotions wanasemaga nzuri sijawahi tumia lakini
 
Back
Top Bottom