Wadada nisaidieni hili

Wadada nisaidieni hili

Njoo nikuuzie lotion uwe ng'aring'ari kama mimii
 
Tumia mafuta ya Nazi hutajuta na utaipenda ngozi yako. Ukiweza tengeneza mwenyewe haya ya madukani wanachakachua sana
 
Tumia mafuta ya Nazi hutajuta na utaipenda ngozi yako. Ukiweza tengeneza mwenyewe haya ya madukani wanachakachua sana
ASANTE mpenzi sasa issue sijui jinsi ya kutengeneza
 
jaman na mafuta gan ambayo n mazur kwajil ya ngoz ya mafuta na kuzuia machunusi???

msaada pls
 
Karibu tuwasiliane, kampuni ya Oriflame ina mafuta aina mbalimbali ambayo niya mtu mwenye ngozi ya kawaida, yenye mafuta, yenye mchanganyiko wa mafuta na kavu.
Bidhaa zake zimetengenezwa kwa kutumia malighafi asilia, hivyo usijali utatunza nyema ngizi yako bila kuichubua.
Naamini tukiwasiliana kwa simu namba 0672416294 utapata suluhisho. Karibu sana na pole kwa tatizo hilo.
 
Back
Top Bottom