Wadada nisaidieni kurasa nitakazopata urembo maridadi

music mimi

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2013
Posts
485
Reaction score
876
Hapa panawahusu wadada so naomba nijibiwe na wadada.

Mie sio mtaalam sana wa vitu vya kike vilivyo kwenye trend. Ila nataka kumnunulia wifi yenu zawadi kwa ajili ya valentine so ninataka kununua kidogo kidogo mpaka siku hiyo maana mwaka jana sikumnunulia zawadi alipoa mpaka nikakosa raha kabisa.

Sasa naomba mnishauri page za insta nazoweza kupata
Pochi standard
Viatu haswa open shoes
Accessories kama hereni na mikufu
Wallet
Saa

Nataka kuwa naagiza online sababu mie ni mvivu wa kuzunguka madukani alafu pia sipendi kuingia maduka ya urembo.
 
Karibu sana kaka nauza hivyo vitu vyote, no angu ni 0753669856, page provillyk_accessories, ukitaka ipresentiwe in terms of zawadi pia nakufungua, huduma ya kuongeza vitu vingine pia kama giftbox, chocolate, pipi tunafanya pia. Delivery popote pale tunakuletea. Na mikoani tunatuma
 
Wana vitu vizuri na bei nzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…